Chorus
- Nina siri naye Yesu
- Yanifanya niwe jasiri
- Kwa amani nayo dhiki
- Yanifanya niwe jasiri
- Yaniburudisha, nikirukaruka
- Hosana, amen
- Yaniburudisha, nikirukaruka
- Nikiimba hosana, amen
Post-Chorus
- Nina siiri
- Nina siri naye Yesu
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
- Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen

- (Hosana) Nikiimba hosana, Amen
Verse 1
- Nina siri naye Yesu
- Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka)nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
Verse 2
- Nina siri naye Yesu
- Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, Amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Nikiimba hosana, amen
Verse
- Waambie wanaolia, wakiteswa na malimwengu
- Waonjeni neema yake na rehema yake Mwokozi
- Watafunguliwa, watawekwa huru

- Wataimba hosana, amen
Chorus
- Nina siiri
- Nina siri naye Yesu
- Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Nikiimba hosana, amen
Verse 3
- Nina siiri
- Nina siri naye Yesu
- [Bridge]
- Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Nikiimba hosana, amen
Chorus
- Nina siri naye Yesu (hallelujah)

Verse 4

Verse 5
- Nina siri naye Yesu (Hallelujah)
- Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Nikiimba hosana, amen
Verse 6
- Nina siri naye Yesu
- Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Nikiimba hosana, amen
Outro
- Yaniburudisha, nikirukaruka
- Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hossan) Hosana, amen
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- Hosana, amen
Verse 7
- Nina siri naye Yesu
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
- (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosana, amen
- Hallelujah
- Hallelujah
- (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
- (Hosana) Hosanna, amen
- Hallelujah